Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ina maana ndoa ile umeikubali? Yaani jamaa kajitwalia shemejiye kwa kukurupuka tu na kujitangazia hivi hivi? I kanti bilivu zisi izi hapeningi !!!
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea Andjul . anamsomesha namba kijana Cole . [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi simo
 
NI SALAMA KUJIFUTIA KARATASI (TOILET PAPER) BAADA YA KUJISAIDIA?



Kujifutia karatasi (Toilet paper) baada ya kujisaidia ni miongoni mwa mambo ambayo watu wengi wamekuwa wakiyafanya na wanaendelea kuyafanya.
 
Pole shemeji...

Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
Asante shemeji...

Hiyo kitu nishawahi kutana nayo,pia kuna hii tabia ya kujinunulia dawa bila kujua shida ni nini hasa hizi dawa za malaria ni hatari kwakweli.
Bila kusahau tabia ya kuchanganya madawa ya hospitali na haya ya kienyeji/tiba mbadala,nafikiri kuna haja kubwa sana ya kutoa elimu hasa vijijini juu ya matumizi sahihi ya haya madawa pamoja na athari zake.
 
Ina maana ndoa ile umeikubali? Yaani jamaa kajitwalia shemejiye kwa kukurupuka tu na kujitangazia hivi hivi? I kanti bilivu zisi izi hapeningi !!!
Kilicho pangwa na aliye juu,lazima kitimie na hatimaye kimetimia...Mengine yatabaki story tu
Mwambie avumilie maumivu maana alicho kitupa kimeokotwa na...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…