Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni bora usiende kabisaaaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeeee...dunia hii ya ajabu sana.Tuna pigana vikumbo kwenye korido moja
 
Pole shemeji...

Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
Mkuu huu mchezo wa kuazimana dawa umenikumbusha kisa kimoja jijini dar, baba na mama wamefariki siku moja,kuzikwa siku moja kwa uzembe wa ndugu na majirani.
 
Pole shemeji...

Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
Baba mmoja alifariki jioni saa 10:30 kwa malaria, jioni mama amelia sana mpaka presha yake ikashuka kama ilivyo kawaida. Ndugu wakaanza kumpepea wakasema "huyu ana presha" hawakufafanua. Jirani mmoja akasema "ngoja nikamletee vidinge vyangu" mama aliyefiwa alikuwa na presha ya kushuka, akapewa vidonge vya mtu mwenye presha ya kupanda. Masaa machache mama akazimika. Lilikuwa tukio baya, mahiwa st kariakoo Dam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…