Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Andjul bwana dah! Subiri kaYego kakija. Labda usinywe maji leo. Utaviona vimamba kwenye glasi !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vimamba kwetu Kyela ni mboga.Awatume tu nijitwaalie mboga
 
Amini unachokiona hata kama hukiamini kiimani mkuu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili siku ziende...Uzi huu raha sana
 
Pole shemeji...

Huko vijijini hii dhana ya matumizi sahihi ya madawa haya ya hospitalini ndiyo ziro kabisa. Vidonge vya Malaria vinakuwa abused mno. Watu wanaazimana mpaka dawa. Imagine that....
"Mwee mama Atu una mseto? Mwanangu amechemka kweli.Nitakurudishia nikienda mjini" muulize kama Atu amepima,jibu lake sasa "ni malelia tu,usiku hajifunikagi"
Mungu atutee bila kuchoka...
 
Daktari mmoja anasema wagonjwa wana tabia ya kukopi maandshi, kwamba leo akiumwa kipanda uso, akiandikiwa dawa na akanunua, atakopi kwenye note book yake, kesho jirani akiumwa ugonjwa kama ule atamuelekeza dawa ileile akanunue. Tuna matatizo makubwa kuliko tunavyodhani
 
Si kwa mashairi yale ya carbamazepine.
Kitoo siyo Yego jamani mpaka apoteze netiweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kitoo siyo Yego jamani mpaka apoteze netiweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…