Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa bahati nzuri hapa nchini kwetu tuna viwanda vinavyozalisha Paracetamol pia, na kila kiwanda kimeipa Paracetamol yake jina lake. Mifano ya Paracetamol kutoka nchini kwetu ni Zenadol (Kutoka kiwanda cha dawa cha Zenufa), Sheladol (Kutoka kiwanda cha dawa cha Shelys), Diodol (Kutoka kiwanda cha dawa cha Keko)
 
"Yawezekana kwenye ndoa yako mafahari walikuwa wengi"
Yawezekana......[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
We mi nakumbuka kwenye ndoa yangu watu wapembeni walishaniita bushoke, nabuluzwa mi nilikuwaga sio fahari kabisa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cole mdogo wangu,hii vita niliipigana kwa moyo wangu wote na wa Shimba kwa pamoja hadi siku umetufukuza kwenye mapamabano.
Hakuna kilicho haribika ndugu yangu,narudi tena kwenye uwanja wa vita kwa ajili yako.
Nataka amani ya nafsi yako ipatikane tena, carba arudi nyumbani kwako kwa ghalama yoyote ile.
Nisamehe mdogo kama kuna sehemu nilizembea kukulinda
Narudi rasmi kukulinda.
Shimba ya Buyenze,nakuomba unisaidie kurestoo amani ya broo wako...chonde chonde[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…