Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
...na mwanaume MASHINEMwanamke MIMBA
Sawaaaa...Eee basi, litakalo kuwa na liwe....
Ukihama uzi kwishney, mpaka sasa wewe ndiye sterling wa picha hili. Labda atakapojitokeza mwingine kuchuka nafasi yako . na siku ukialikwa kwenye interviews ya DJ tujurishane[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nahatarisha maisha ya baadhi ya watu hapa,itabidi nihame jukwaa sasa
Jamani jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]mtaniua mieSiyo wewe. Ni mwanaukoo mwenzetu
Ona sasa!!Sawaaaa...
Hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisa, mafundisho yooote niliyo yapata kwa Numbisa yameevaporeti ghafla