Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ina maana wewe huuguagi? Siri yako ni ipi? Au kubomoa ndoa za ndugu zako na kuchukua wake zao inakupa hormonal rush na ku-impruvu immune system yako?
 
Muone nae huyu,unashabikia nini hapo?
Wewe mwenyewe mharibifu namba moja.Yua medisini izi ini ze kicheni tokotaringi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ina maana alifanikiwa kumchukua Nsamaka?
Nawe ukaona umalizie hasira zako kwa mdogo wako mpole asiye na maneno na mtu Cole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…