Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We muzee wewe. Ulichowafanyia Cole na Carba kitakutafuta daima !!!

By the way, kwema huko? Tumshukuru Mungu !!!
Andjul anaonewa kwakweli,hivi wajua kuwa waliweka bet ya avatar?kwamba ikitolewa me nahamia tukuyu?[emoji23] [emoji23]
Kuvunjwa kwa zizi langu ni mkeo ndo muhusika namba wani...

Habari ya jumamosi msalimie kitoo(in yego's voice)[emoji125] [emoji125]
 
Mh!
Hivi wajua sindano yafanya kazi haraka kuliko dawa za vidonge?
Anyway napita tu kukusalimu,ha wa yuu
 
Jamaniiiiii !!!
Mke wangu alifanya nini jamani?
Na ulipotaka kuhamia mbona tena akabadili gia angani? Au mlikuwa mnatuchezea akili tu? Was this a game?
 
Muone nae huyu,unashabikia nini hapo?
Wewe mwenyewe mharibifu namba moja.Yua medisini izi ini ze kicheni tokotaringi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] mvunja mazizi, watu wanakuvizia wakufumanie[emoji3] [emoji3] [emoji3] umetegewa fumanizi. Utanasa kwenye siku chache zijazo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mi simo
 
Fumanizi jamani na uzee wote huo mhhh !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…