Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Vipi ushampiga chini huyo Mlugaluga wa Tukuyu? Mambo iko huku bhana, Nansio! Piga chini huyo tulianzishe! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Jamaniiiiii !!!
Mke wangu alifanya nini jamani?
Na ulipotaka kuhamia mbona tena akabadili gia angani? Au mlikuwa mnatuchezea akili tu? Was this a game?
Kwamba ulikuwa huoni kama yeye ndo sababu ya mimi kutoa talaka au?[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Me nilikuwa natimiza masharti tu[emoji124] [emoji124]
 
Kuna sehemu niliona umeulizwa na jibaba fulani huko nyuma,uliahidi kurudi na ushahidi wa kina.
Hakika umetusaidia,acha tubaki na kiburi chetu sasa...Zamaa,zama mwenyewe...Lamba, silambi kwani lazima?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ila umenichekesha et zama mwenyewe khaa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…