Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilitilia maanani habari hiyo kwa sababu hayakuwa magazeti ya Shigongo. Nipashe kuna kipindi lilikuwa gazeti la kuaminika.Magazeti hayaaminiki siku hizi. Maana familia ya lissu inasema anahamishwa nairobi kupelekwa nchi nyingine kwa matibabu zaidi
Upo bageshi? Unapotea mno? Huko Tanga hamjambo? Kashemeji kangu Kapare kanasemaje? Gagishage !!!Wazima humu!?