Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji huyo wa Real Madrid imeripotiwa kuwa amefanya mazungumzo yasiyo rasmi kuhusu uwezekano wa kuhamia Paris Saint-Germain
 
Ronaldo amefurahia kipindi cha miaka nane na nusu Bernabeu, akiwa ameshinda mataji mawili ya ligi na matatu Ligi ya Mabingwa miongoni mwa mafanikio yake, lakini ripoti zimedai kuwa supastaa huyo hana furaha na maisha ya Madrid.
 
Kweli tupu. Miaka mitano halafu unakuja kumbwaga....
Lijitu linakung'ang'ania miaka yote hiyo kama anachukua degree ya udaktari mwisho wa siku anakwambia eti wewe sio waifu matirio,mfyuuuu
Mai buraza hiyo radi itakayokuja kukupiga bado iko gym inapiga pushup[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 sasa imedaiwa kuwa hana mpango wa kusaini mkataba mpya kuendelea kuichezea miamba hiyo ya La Liga kwa mujibu wa Diario Gol, na jambo hilo limeishawishi PSG kuingia kwenye mbio za kuiwania saini yake.
 
Inasadikika mazungumzo yamefanyika hotelini Madrid, na wakala Jorge Mendes akisemekana kuwa tayari kushinikiza usajili huo ikiwa Ronaldo ataonyesha nia ya kuhamia Paris.
 
PSG walivunja rekodi ya uhamisho kwa kumsajili Nyemar kutoka Barcelona msimu uliopita wa majira ya joto, na miamba hao wa Ligue 1 watalazimika kuilipa Monaco fedha nono kumsajili Kylian Mbappe, lakini imedaiwa kuwa PSG wapo tayari kulipa kiasi chochote cha fedha kumsajili Ronaldo kikosini mwao.
 
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ametia saini kandarasi mpya huku wale wanaomtaka kumnunua wakilazimika kugharamia thamani yake ya Yuro milioni 700.
 
Mchezaji huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 30 sasa atasalia Barcelona hadi msimu wa mwaka 2020-21.
 
Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne.
 
Naona umekuja kivingine shemeji. Kuna mtu kakutibua huko nini? Unachokisema ni kweli tupu. Shida ni emotions. Mihomoni na dopamine vinapokukurika mishipani, hata ukweli wa wazi hugubikwa na kunguku la matumaini mafu na mwisho wake ni kuumizwa sana. Siku yako imekwendaje?
 
Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…