Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kikawaida, vijipele vya mkanda wa jeshi huota kama tabaka (mkanda) la malengelenge linalozunguka upande mmoja wa mwili kuanzia kifuani. Vipele vya mkanda wa jeshi vyaweza kujenga kuzunguka jicho moja, upande mmoja wa shingo au uso.
 
Tiba Ya Mkanda Wa Jeshi



Hadi sasa hakuna tiba maalumu kwa ajili ya mkanda wa jeshi. Linalotakiwa kufanyika ni kumpa mgonjwa dawa ya kuua virusi ili kumsaidia kupona haraka na kumpa dawa za kusaidia kuongeza kinga zake za mwili.
 
Maisha tu shemeji,wakati mwingine tunashindwa kukubaliana na ukweli huu mchungu.

[emoji117] [emoji117] [emoji117] huku kwema kabisa sijui huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…