Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji1][emoji1]
Hili nalo neno....View attachment 642662
[emoji1][emoji1]
Hatimaye umeonekana! Siku yako imeendaje? Pole na karibu. Tumshukuru Mungu....
Actually madarasa mengi ya kweli hayana kuta...Nilishakwambia. Unaandaliwa. Jifunze kwa bidii [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Asante sana,[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hatimaye umeonekana! Siku yako imeendaje? Pole na karibu. Tumshukuru Mungu....
Sawa dadii nazidi kujifunza[emoji120] [emoji120] [emoji120]Actually madarasa mengi ya kweli hayana kuta...Nilishakwambia. Unaandaliwa. Jifunze kwa bidii [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee weweJumba kama hili mpaka ujue weakness yake kwenye foundation kabisa. Vinginevyo unaweza kuRIP ukipambana kulinda heshima ya ukoo....
"Ukoo wa akina Mwakitombile huwa hatushindwi kitu" wakati pumzi ishakata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabunyebunye baba utafikiri uji uliogoma kuiva.
Umeona eeeHaka ka dada kana lips.....