mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapUzalendo wetu udumu
YapWeekend inaendelea
KabisaJumapili tulivu
Hivi ikulu yetu iko umbali wa mita ngap kutoka fukwe au nayo itahamia domNAIBU WAZIRI ASISITIZA Hivi karibuni, akielezea kuwapo kwa bomoabomoa kwenye maeneo ya fukwe yaliyovamiwa kinyume cha sheria,
Habari za Jumapili carbamazepineUnataka kuitisha vikao vya ukoo?una agenda gani?
Uko na posho ya kuwalipa wazee??
Mkuu habari za masiku tele pole kwa kipigo ndio soka
Mkuu shimba habari za Jumapili naona chama linaendelea kama kawaida