Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakuwa alimshikilia hivyo ili apige picha.

Inasikitisha!!! jamani hivi mzazi analalaje na mtoto kitanda kimoja tena mdogo[emoji20] [emoji20]
Mtoto mdogo kulala na mzazi (hasa baba) ni salama zaidi. Mtoto akilazwa tumboni kwa baba (tumbo kwa tumbo) anaweza kulala bila kusumbua hadi asubuhi.
Kama baba hapendi watoto asijaribu, ukisha mzoesha kumlaza tumboni huo ndio utakuwa mwanzo wa urafiki wenu kwa maisha yenu yote. Kila utakapo kuwa unasafiri unamuaga hata kama hajui kuongea anakuelewa.
 
Ni kumuomba Mungu tu hakuna kingine mkuu.

Na uzi huu kusema kweli ni therapy mojawapo kubwa ambayo binafsi imenisaidia sana. Maneno ya faraja, upendo, undugu na matani yaliyomo humu vyote vimekuwa tiba na farijiko kubwa. Mungu Atawalipa !!!
 

Duu, pole sana aisee! Mi nikadhani ulikwenda home kwa ajili ya Christmas na mwaka mpya. Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…