Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unapajua sentro mzee?
Halafu kisa cha kunilima viboko ni nini labda?
Sentro? Kwani ni kosa la jinai "kumlima" denti wako aliyehitimu "viboko?" [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
"Viboko",hivi unanini lakini leo[emoji23][emoji23][emoji23]mbona fujo hivi?
Nakukumbusha tu
 
hahaaahahaha,kuna memory zingine zipo google zinachekesha. Siku ukiwa na nafasi google id yako au ya shimba kisha nenda upande wa picha kuna screenshot zinakumbusha mbali hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeona kule nimecheka sana baada ya kuiona evidensi ya Cole na carba
Likes za usiku
 
Kwa hiyo hamjali ama? Savage my foot!

Cook for your man. Take care of him in bed...and respect him...and you are done !!!
Me nimejibia hiyo picha bhana

Lakin waweza fanya yote hayo na mwisho wa siku ukamuona yuleeee[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Ila point yako nimeielewa na sijaipinga maana ndo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…