Niache? Tena sasa ndo nimecharuka zaidi. Utafikiri nimerogelezewa. Kwema lakini. TMT huko mnasemaje na maforex yenu?Mkuu mambo yako haya bado hujaacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila yuko bomba sana
Karibu tena mkuu. Tunakuomba umrudishe ISIS humu....Good morning SHIMBA YA BUYENZE
MhHapo sasa....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nakutega Tena jaman Umeshaondoka domUnanitega, sijui ni nyavu au ndoano!!!
Ma-New England hovyo sana. Ila walipima ubongo wake wakasema ulikuwa umezeeka vibaya utafikiri wa kikongwe wa miaka 98. Ma-concussion yao wanayopata mara kwa mara yanawaharibu ubongo mpaka wengine wanapoteza ule uwezo wa kupambanua mema na mabaya. Very tragic !!!Huyu jamaa jela ilimchanganya mpaka akaamua kujinyonga! Pamoja na mamilioni ya $$ alizokuwanazo, haya maisha haya!
Numbisa
Si ajabu huko wanamkoromea halafu anaishia tu kuwatia kwenye ignore list. Ni afadhali tu arudi huku kwenye upendo na anakotambulika rasmi kama Malkia wetu...Hakika ISIS amekuwa mnyonge akipita pita huko, sijui amepatwa na nini mtu wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi unaishi DodomaAbeeeeeh (in Wema voice)