mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*USICHEZE NA WAHAYA KABISA*
KUNA MUHAYA ALISIMAMISHWA NA TRAFIKI:
*MHAYA:* UNASEMAJE BWANA MDOGO??”
*TRAFIKI:* KWA NINI UNAENDESHA GARI UKIWA HUJAFUNGA MKANDA?
*MHAYA:* USISEME GARI, SEMA RANGE ROVER.
*TRAFIKI:* SAWA KWA NINI UNAENDESHA HII RANGE ROVER BILA KUFUNGA MKANDA?
*MHAYA:* USISEME RANGE ROVER TU; SEMA RANGE ROVER YA MWAKA 2017.
*MHAYA:* HII NI NEW MODEL YA KISASA KABISA, MKANDA WAKE NI WIRE LESS HUWEZI KUUONA.
*TRAFIKI:* SAFARI NJEMA KIONGOZI!
Chezea Wahaya wewe!
Mkuu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]
Game ngumu sanaWatoto wa London lazima wakae[emoji111]
HahahahahaHahahaha, Avumae baharini ni Papa, lakini ukijichanganya hata samaki Taa anakumeza. Watu hudhani ulevi ni pombe na unga tu. Uzi huu ni zaidi ya unga na bange[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HahahahahaAl Shabab noma sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
WameshindaKlabu ya Simba leo inashuka katika dimba la uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni kusaka pointi 3 mbele ya klabu Ruvu Shooting kutoka mkoani Pwani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguuko wa 16.
Mhhhh shimba
Hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kama chizi
Pu****
Spurs wanabebwa hapa
[emoji20] [emoji17] [emoji22]Hawa spurs wanataka kuharibu Siku yangu