Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwake ufumbuzi pekee ni kuwakimbia wenye nguvu kiuchumi na sio yeye kujiimarisha kiuchumi Zaidi yao, na anapotarajia kwenda hajui kwamba atatumia nguvu za ziada ili apambane na hali mbaya ya uchumi atakayoikuta.
 
Inabidi ukanushe hizo taarifa maana mm naanza kuona maruweruwe
 
lakini wengine wamekwama kutokana na kushindwa kubadili mitazamo yao hasi dhidi ya wengine. Hii isiwe sababu ya kughadhibika na kuamua kuwakimbia ikiwa unapokwenda pia kuna watu kama hao pia.
 
lakini wengine wamekwama kutokana na kushindwa kubadili mitazamo yao hasi dhidi ya wengine. Hii isiwe sababu ya kughadhibika na kuamua kuwakimbia ikiwa unapokwenda pia kuna watu kama hao pia.
 
Nisamehe shemeji. Timu yangu ilishinda. Nililazimwishwa kunywa kaglasi ka ile mvinyo yenye 26% abv. Nilipoandika haya hata sijui nilikuwa nafikiria nini. Pengine kukufurumua. Sijui kwa kweli. Nisamehe tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…