Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa natafuta ile picha ya nusu chenza uliyoweka hapa juzi lakini siioni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
andjul njoo huku Numbisa anakuchokoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo nimeandamwa na wakoromije....
Shimba kasema ule mzigo unaochunguliwa na mwenye nguo nyeusi ni mimi... Ila duniani kuna watu wanafaidi jamaniiii... Aiwishi ningelikuwa mimi .....
 
Pamoja na hayo ni rahisi sana watu hawa kupata msongo wa mawazo “stress” na kufikiria sana vitu. Wakiamua kujitoa kwa ajili ya kumsaidia mtu basi wanazama kabisa na wanaweza hata kujisahau wao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe khaa!!
Sijui uliwaza nini kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…