carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nashukuru Mungu kwakweli,nipo nawajibikaVeri faini. Habari ya majukumu mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba ni tatizo sanaNa hapo hajataja saksafoni[emoji23][emoji23]
Mradi kuna MTU wa kukupandisha kitandani..Sasa hataki nitoke jirani nitafanyaje?[emoji30][emoji30]
Asante. Mwanzoni nilidhani anatania. Vilio vilipoongezeka ndiyo nikajua kuwa ilikuwa ishu siriazi. Halafu karibia mwezi mzima sionjeshwi juisi ya chenza la Andjul kisa eti nimetupa wigi lake japo tayari nilikuwa nishamnunulia jingine. Kuanzia hapo mi na wavaa mawigi ni maji na mafuta aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole shemeji,kama napata picha ulivyokuwa umwnywea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana chezea wanawake na nywele zao
Yaani wewe na yeye ni changamoto kwakweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba ni tatizo sana
Jirani bhana[emoji23][emoji23]Mradi kuna MTU wa kukupandisha kitandani..
Wengine humu tunataniana na mabinti zetu kabisa. Za kupotea siku mbili tatu hivi?Jean de Dieu Makiese 'madilu' amefarikiAugost 2007. Ulikuwa bodingi sikuli?
Mwe mwe mweeeee.....wee mtoto!! Kumbe ngukina na abhana abhanini bhosa muno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chenza linafikia watu kuuana acha tu,chenza taamuuJamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] chenza ni kama lina -rani dunia eeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji39] [emoji39]
Chenza linafikia watu kuuana acha tu,chenza taamuuJamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] chenza ni kama lina -rani dunia eeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji39] [emoji39]
Pole na majukumu..mm nimesha anza mapumzikoJirani bhana[emoji23][emoji23]
Umesemaaa??mwezi mzima?Asante. Mwanzoni nilidhani anatania. Vilio vilipoongezeka ndiyo nikajua kuwa ilikuwa ishu siriazi. Halafu karibia mwezi mzima sionjeshwi juisi ya chenza la Andjul kisa eti nimetupa wigi lake japo tayari nilikuwa nishamnunulia jingine. Kuanzia hapo mi na wavaa mawigi ni maji na mafuta aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara paap utasikia "ME AND YOU FOR EVER". "I LOVE YOU" "TRUE LOVE NEVER DIES" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaja cole bana atakuja na nyimbo zake za kubembeleza
Hee shimbaaaaWengine humu tunataniana na mabinti zetu kabisa. Za kupotea siku mbili tatu hivi?
Ndo uzuri wa hizi ID,hapa waweza kuta wamuita mtu beibi kumbe ni baba ako ama mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine humu tunataniana na mabinti zetu kabisa. Za kupotea siku mbili tatu hivi?
Nshakausha. Nina usongo na mahali balaa. Muda mrefu sana sijakamata ng'ombe na kula nyama ja bukombe....Mkoromije mwenzangu kausha basi hii ni mada kesi ujue,huyu huyu coleeee maneno yamemponyoka
Hahahahha weekend inaanza vizuriiUmesemaaa??mwezi mzima?
Hakuna juice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana maana.......
Asante[emoji120][emoji120]jiraniPole na majukumu..mm nimesha anza mapumziko
Kubembeleza muhimu..IPO siku atajikuta katikati ya mafiga na moto unawaka!!!Mara paap utasikia "ME AND YOU FOR EVER". "I LOVE YOU" "TRUE LOVE NEVER DIES" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]