Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] chenza ni kama lina -rani dunia eeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji39] [emoji39]
Ni kweli. Linarani dunia. Watu wakubwa wengi walishawahi kuangushwa na chenza. Himaya nyingi zilishaanguka kwa sababu ya chenza. Tumo dhambini leo hii sababu ya chenza. Hata Mugabe aliwahi kusema kuwa kama wanawake wangechimba mkwara wa kutotoa chenza kwa wanaume mpaka kutakapokuwa hakuna vita hapa dunuani, leo hii amani ya dunia ingekuwa imeshapatikana. Chenzaaaaaa.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…