carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Numbi[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nani mwolewaji?
Nikikumbuka Uniq hajalipa na kapotea jumla roho inauma. Halafu nasikia kamtandika mimba dadangu. Mambo kwishnei....
Zamani ipi?Alishawahi weka picha yake zamani akiwa amenyoa
Ha ha ha inabidi utume tena picha yako iwe ushahidiHahahaja cole bana atakuja na nyimbo zake za kubembeleza
Hahahaha utamkimbiza wiki nzima humu[emoji23][emoji23][emoji23]ndo unavyojidanganya eeh?
Yaani leo nataka kuwa kama mange,subiri tu aje
Kbe ni kimbaumbau pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kale kakimbau mbau daah Uwezi jua
Nimesema. Wengine humu wanetu kabisa ohoooo !!!2007 shahada?
Me ndo niko kindagateni uuuwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shkamooo shemeji
Sasa itabidi nianze kuwa na adabu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bro in da hausi...Ha ha ha kusuka pia ni bora
Hapo hakuna jinsi..aibu haifutiki.mnatawanyika tu. Wote mnajua hakuna mwema..We jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapotezea umempiga saundi binti yako na kakukubali[emoji23][emoji23][emoji23]tena mmekutana loji uuwiiii sijui mnatizaman vipi mkirudi nyumbani
AAiseee naombea rekodi ipoteee hahahaNimeshaweka kabisa hapa kwenye rekodi yangu. Mwaka 2007 wakati mi namalizia shahada ya ******* Numbisa alikuwa High School...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke ww ni mkali sana
Heee nimeshaisahauHa ha ha inabidi utume tena picha yako iwe ushahidi
Nilikuwa narejelea uhuru niliojifunza kwako. Kufunguka tu bila kujali sijui watu watanifikiriaje. Hatufahamiani ati !!!Hamna anaenikwaza humu kuwa huru,mie mwepesi wa kufunguka nikikwazwa. Uzi murua huu
Ona huyu anamuita mjomba ake daddy[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] daddy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au kijana wako kabisa unamuita bebiKweli tupu. Ubaya tu hamtaki tuonane. Aisee ingekuwa kasheshe mtu unakutana na mtu mwenye umri wa binti yako kabisa. Aibuuuu !!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ona huyu anamuita mjomba ake daddy[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]muone anavyojichekelesha hapaHahahaha utamkimbiza wiki nzima humu
Ha ha ha inabidi utume tena picha yako iwe ushahidi
Wanamajina yao mtaani hukuView attachment 693224ni furahiiii day
Embu weka ushahidiBaada ya kujifichaficha kwa muda mreeefu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba nae alijilipua juzi.
Jamani huu uzi raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya bwana. Inauma lakini......Weuweee umesahau kipigo cha aseno ile bet ilisema sahau kudai mahari