Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
OoooohooooNdo uzuri wa hizi ID,hapa waweza kuta wamuita mtu beibi kumbe ni baba ako ama mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha bora umekimbia baada ya kujibuNumbi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahahahaMwingine huyu kaita mwanae beibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!aisehKuna jamaa alimtongoza dada yake mzazi,wakakubaliana kuonana maeneo. Jamaa anasema akawa wa kwanza kufika,katika mawasiliano ya kuelekezana akaona dada ake anamfata alipo na kuondoka kimya kimya akashindwa,dada mtu kumuona akageuza huku akiandika sms kuwa wabadilishe eneo maana hapo aliposema yupo kaka ake
Loh!!! Kaka alikua kama yuko hospitali!Kuna jamaa alimtongoza dada yake mzazi,wakakubaliana kuonana maeneo. Jamaa anasema akawa wa kwanza kufika,katika mawasiliano ya kuelekezana akaona dada ake anamfata alipo na kuondoka kimya kimya akashindwa,dada mtu kumuona akageuza huku akiandika sms kuwa wabadilishe eneo maana hapo aliposema yupo kaka ake
Lile lipicha nimeshalifuta kwa sasa nina vimbau mbau tuNa ili chawamita wamsamehe kesi ataleta picha matata ,story zitabadilika kujadili msabwax badala ya kesi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mazoea jirani...30-55 ni kundi moja
Ila uyasahau maana ni makubwa haha[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nitasikia mengi sana
Aisee. Mwezi wa nne mi niko tayari tukutane sehemu moja tuuasisi undugu huu. Andjul, Carba, 'Kitoo, Yego, Moudgulf, Jirani, Numbisa...Nitalipia usafiri...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Ona huyu anamuita mjomba ake daddy[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tunawaiteje huko kwetu Mbagala?Wanamajina yao mtaani huku
We nakuogopa ka mange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha bora umekimbia baada ya kujibu
Kuwa Gentlemen kumeniaribia sana i wish ningekuwa simba mkali kama wewe bro wanguNdiyo maana anaitwa "kijana mpole" aka Simba mwenda pole. That's my bro...[emoji122][emoji122][emoji122]
Marahabaaaaaaaaaaa !!!Shkamo baba[emoji38][emoji38]
Mwambie aweke ile picha yake hizi[emoji23][emoji23][emoji23]ndo unavyojidanganya eeh?
Yaani leo nataka kuwa kama mange,subiri tu aje
Awa sekandi chaldi...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Funguka tu huruuu maana hata hakuna mpango wa kuonana life is full of SurprisesNilikuwa narejelea uhuru niliojifunza kwako. Kufunguka tu bila kujali sijui watu watanifikiriaje. Hatufahamiani ati !!!
Hahahhaaa carba banaOna huyu anamuita mjomba ake daddy[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]