Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakua duh angeangewekapo na kaalama kama ni yeye
 
Hata mi nilishaweka picha yangu humu lakini hakuna aliyeishtukia. Nikaiondoa kimya kimya halafu nikaufyata. Ilikuwa katikati ya mamisambwanda naona ndicho kilichoniokoa. Siku hizi niko careful balaa....
Shimbaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]ni nini kutuzibia hivyo lakini??

Sijui bahati kama hii itatokea lini tena[emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…