Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwandiko na sura yangu havifanani kabisaaaaWewe unaweza kuweka watu wasistuke..ila kuna picha unaweka mnafanana...
Mwandiko na sura yangu havifanani kabisaaaaWewe unaweza kuweka watu wasistuke..ila kuna picha unaweka mnafanana...
Kama ki ben 10 je in carbas voiceKama ni andaeitin au mbaba. Kama ni mbaba jua utapata maksi za ziada (sponsor)
Ulale salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutafuta pic ya carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji112] [emoji112] [emoji112] bana
Inawezekana tumekuona mahali pengine...! Ukiweka tu tutasema dah jamaa anafanana kama anavyoongea....Kidogo...Hasa kulingana na kibarua changu mhhhh....
Lile lipicha nimeshalifuta kwa sasa nina vimbau mbau tu
"Kibarua"[emoji124] [emoji124] [emoji124]Kidogo...Hasa kulingana na kibarua changu mhhhh....
mmh kama namuona yego akichekelea huko alipoAndaeitini wazoefu wa uzi huu:
Yego
Numbisa
Carba
Jakitoo
Weka pichaaaa[emoji23] [emoji23]We masoud Sura mbaya utaogopa hata ku hang out na mm
Mh!Mwandiko na sura yangu havifanani kabisaaaa
Ile paten yake utaistukia...kuna picha pale ya mtu akiwa kama 16, 25, 35 mtu Huyo Huyo....atakuwa yeye au nduguye..kama nduguye inamfaa nini kuiweka? = yeye
Ila mimi bhana sijui kwa nn siwezi kabisa nakumbukaga zamani kuna binti wa kitanga alinifosi wee alinifosi lakini sikumfanya lolote aisee sijui nikojeYou either adapt or you perish. Ni struggle for existence and the survival of the fittest bro...
Shem unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23]Andaeitini wazoefu wa uzi huu:
Yego
Numbisa
Carba
Jakitoo
Jiangalie weweUchebe huyooo shauri yako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
That's what I am talking about. Kama hili yaani wikiendi nzima mnajifungia unacheza nalo tu. Raha iliyoje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️View attachment 693267View attachment 693268
Unasema kweli umeshalifuta hili?
Jamaniiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] usingeifutaaaaa
Kibarua shemeji. Ili mkono uende kinywani..."Kibarua"[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Uchelewi kuniweka avatar na kunifungulia li uziUsisahau kunitag sawa baibii[emoji6][emoji6]
Ningepata ningeshaga ishusha humuHukupata ile picha ya malkia bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiangalie wewe