Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Mwezi wa nne mi niko tayari tukutane sehemu moja tuuasisi undugu huu. Andjul, Carba, 'Kitoo, Yego, Moudgulf, Jirani, Numbisa...Nitalipia usafiri...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Maisha ni rahisi sana ila tunayashindwa kwa hofu ya kujichanganya. Kujiamini ni moja ya silaha kubwa sana katika kuyashinda au kuyatawala maisha.
Natamani kujifunza kutoka kwenu.
Karibuni sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
9a5f09391f55534c43d17a2d0028ceef.jpg
Baby Doll Lissa....!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom