andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Weeeeee...shilawadu shilawaduuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sipitwi ujue...Kuna siku malkia wetu wa uzi alirusha picha yake halisi laivu humu na kumtag prince wake Mzee wa Ini lakini nashangaa hakuna hata mmoja aliyeipakua. Kujiripua rukhsa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]