carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Dah!Sikuwahi. Nilifanya kila juhudi kuisaka mpaka na software ya ku-retrieve lakini nikakwama....
Dah!Sikuwahi. Nilifanya kila juhudi kuisaka mpaka na software ya ku-retrieve lakini nikakwama....
Hahahhaha aiseee ungeichukua kimya kimyaIle nataka nitoe ushuhuda nikaambiwa "nyamaza"...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nina noah nyeusi ila siipendi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikanyamaza
Ole wako usiniponi tag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I believe siku moja mtaniona tu
Humu Tu sio Jf nzima sio mbaya
We hata sharubu zangu nakuachia uchezee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coleeeeeeee
Usikasirike bhana
Hata kuninong'oneza mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Ile nataka nitoe ushuhuda nikaambiwa "nyamaza"...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nina noah nyeusi ila siipendi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikanyamaza
Ha ha ha afu weweSiku akidowinload picha za sket utamkuta kajaa tele
Mpaka nyumbani kwake naweza kukupeleka. Ni mdada mpole sana,sio muoga. Nimejifunza kwakeHamna. Niliwatafuta watu wote waliolaiki akiwemo Cole na Nsamaka ili wanirushie wote wakasema walilaiki tu na hawakuipakua. Nikamuuliza Mansa Musa akasema yale yale. Nikamuingia Mzee wa Ini mwenyewe akaanza kunizungusha. Nilitaka tu kuona kama uchacharikaji wote ule unaendana na mtu mwenyewe. Cole pengine anakumbuka...
Kwendaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ili wewe unikasirishe kwa mfano yani labda uninyime chenza in andjul voice
Asante ila na wewe pole uwezi jua uli miss niniH
Hahahaha pole
Mume wa shishi BangladeshUchebe ni nani
Asante ila na wewe pole uwezi jua uli miss nini
Ilichelewa kwenye screen kutokaIlifutwa ile picha kwa kasi ya 98g yaani ndani ya sekunde
Kuna vingine inabidi uviogope simaanishi nyoka na mendeMwanaume unaogopaje?
Ndiye mwandishi wa hiki kitabu cha kesi maarufu duniani...Hawezi kukubali moja kwa moja...ana interesti na siasa....
Aah bana.We naogopa
Chenza utapewa tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ili wewe unikasirishe kwa mfano yani labda uninyime chenza in andjul voice
Duuh ukaitunzaaMzee Rutta huwa anamuweka huyu jamaa (kushoto) mara kwa mara pamoja na familia yake. Nilishawahi kumuuliza anamfahamuje lakini alinichunia. Kama ni yeye basi namfahamu.
![]()
We yako nitakutumia kwa majariwa nitakutumia ile unayoipendagaOle wako usiniponi tag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]