carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nishajitolea ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Nilifikiri utajitolea kunirumenya? Badala yake unauliza maswali tena? Kha !!!
HapanaKipenzi unauza au?
Ninunue kwa ajili yako?Hapana
YerewiiiView attachment 693541 View attachment 693542 View attachment 693541 Mbona hao wanawake wengine wenye misambwanda wanafana na hawa
Copyright walahi!
ItapendezaNinunue kwa ajili yako?
Unastahili zaidi hiyo mamii, na nini nyingine?Itapendeza
[emoji16]Yule akamtizama kwa sura ya bashasha na tabasamu kisha akamwambia Yule mzungu asante
Nimeona kwa masikio yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ISIS anashangaa neema za msambwax(wapi Numbisa) kama sisi chama la WANA tunavyoshangaa huo upendeleo wa uumbaji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri mwenyekiti na katibu wa CHAWAMITA waje
Jambo la kheri kusikia unaendelea vizuri.NISHAPONA. Ndo nimetoka jogging. Dozi nilimalizia jana. Thanks for caring....
Jumamosi inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
huu u***** kabisa hawa ndio hata kulawitiwa wapo tayari
love u Numbisa for good lesson, i followed it section after section, hope huyo mzungu ataondoka hapo uso umemshukaMafunzo: Tujifunze kuondoa chuki mioyoni mwetu kwani Ubaya umfanyiao MTU huenda ikawa sababu ya kunufaika kwake na ikawa njia ya kuanguka kwako.
hapo kwenye kujiuliza omba Mungu kweli uwe na maswali relevantLijue tatizo vizuri, wahenga walisema kulijua tatizo ni nusu ya kulitatua.
Oni mai weii ingependeza zaidi...Nishajitolea ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Au ulitaka niseme
"Oni mai weiii" Kuja kukufuata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]