[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unazungumzia ndizi ama "ndizi"?
[emoji23][emoji23]nimeelewa sasaWe're on the same page Carba, ndizi in brackets.
[emoji23][emoji23]nimeelewa sasa
Badala ya kunipa pole hahahadah! hahahahahahahahahah lol!
Hahahahaha acha tu jana ilikua moto madilu huyuuuu alinikamatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mlibeba mabegi tayari kwa kukimbia...
Ila last night was fun nilicheka sana
Sema ulibambwa utamu[emoji23][emoji23]
Nimeizumu picha,ilivyo zumika nika zumu macho,yalipo zumika,nikaacha macho na picha vizumiane...nilicho kionaaa...
We BAK wewe[emoji23][emoji23]me sili ndizi bhana[emoji85] [emoji85]Pamoja na kuelewa lakini umegoma kujibu swali langu Carba, lakini nadhani ni rahisi kuhitimisha jibu.
Badala ya kunipa pole hahaha