Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namna Ya Kufanya

Kamua limao zima katika bakuli lako, kisha changanya sukari na mafuta ya nazi katika hilo hilo bakuli lenye juice ya limao baada ya hapo changanya mpaka mchangiko wako uchanganyike vizuri, kwa kutumia mikono paka mchanganyiko wako miguuni na usugue kwa muda kisha osha miguu kwa maji, jikaushe na upake lotion yako.
 
Umeiona eeh! Imeshakuwa ni fashion kwa wengi siku hizi. Baadhi zinawapendeza kama hawana nyingi kupita kiasi lakini wale ambao wamezijaza kwa fujo mie huona kama ni uchafu. Too much of anything is harmful.
Tattoo mwili mzima ukivua nguo ka ukuta wa choo cha shule ya msingi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…