mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning TANZANIA
Ndio tabu ya wanasayansi wanaweza kukupoteza mazimaWord...Mpaka jamaa wa Ancient Aliens wakawa wanadai kwamba siri pekee ya kuishi milele ni kugundua jinsi ya kuishi ndani ya Blackhole. Eti hata mbinguni inawezekena ni ndani ya liblackhole likuubwa wajanja walishagundua jinsi ya kuishinda gravity ya humo. Na kwa vile hakuna muda basi watu mnaishi milele na milele. Wanasayansi wana vituko sana !!!
Yap JumapiliSiku ingine tena...jumapili
06:4500:00
Mkuu habari za Jumapili00:01
Mkuu good morning
Na kwako piaMungu atupe siku njema ya jumapili
YapTuwe na amani na utulivu
AMUN RATuwe na utu na umoja
AMUN RATuwe na uzalendo
AminaMungu atupe afya
Milele yoteUtu na uzalendo wetu udumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ukimuachia kujipimia anakuua aisee, duu! Hata kufurukuta huwezi! [emoji1][emoji1][emoji124]
Aisee poa kabisaSalama Kiongozi.
Vipi na wewe Kiongozi?
Asante kiongozi kwa TaarifaNdio Kiongozi.
Ila si kivile.
Sema kukiwa na Tamasha kubwa, SNOOP huwa anapanda nae wakiwa wanatumbuiza Vibao vyao vya zamani alivyoshirikiana nae.
Kuna kipindi cha Miaka michache iliyopita nilimuona Luningani kwenye Tamasha la UFUKWENI akiwa anatumbuiza pamoja na KURUPT, na DAZ DILLINGER
Mwafrika halisi
Bonge la filamu hili