Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si ajabu ndiyo waliiba teknolojia ya huko Misri ya kale hawa. Yaani ukiangalia documentary hizi mpaka mtu unashangaa aisee. Kuna nguvu za chini chini zinaendesha hii dunia aisee....
 
Aidha, Kamanda Mpinga amesema baada ya kukamatwa na kupekuliwa watuhumiwa hao walikutwa na nyara hizo ambavyo vina uzito wa kilogram 5 vyenye thamani ya Tshs Milioni 33.


Kwa upande mwingine, DCP Mpinga amesema taratibu za kisheria zinafanyika ili watuhumiwa wafikishwe mahakamani kwa hatua zaidi, huku akiwataka wananchi kuacha tabia ya kuwa na tamaa ya kujipatia utajiri wa haraka kwa kutumia njia za mkato zisizo halali, badala yake wafanye kazi halali ili kupata kipato halali.
 
Usually, the people with the best advice are the ones with the most problems.
Aisee ni kweli. Kuna jamaa yangu ukikaa naye simu yake constant inalia watu wanaomba ushauri mpaka matajiri wakubwa huko Koromije. Na anawapa ushauri wa maana kweli japo mwenyewe hana mwelekeo. Kila mtu na kipaji chake hapa duniani.....
 
My kind of bouquet[emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 695580
Haki ya nani ningekuwa karibu hapo ningekuletea halafu nikuone itakuwaje. Tena kuna hizi wings spicy kidogo halafu hazijakauka sana laiiini za moto moto yaani ukitia jino mpaka unafumba macho aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…