Hivi ule wa Zali nao ni ubuyu? Nijurishe maana hata tende naweza kudhani ni ubuyuHujauona mwingine inamana?
Pole wii ubuyu unaendelea na picha juu.
Ila usiende huko baki hapa na sponsor Shimba[emoji23][emoji23][emoji23]
Aseeee, kwahiyo ni full kuanikana eeehUbuyu wenyewe umeanza siku nyingi sana sema leo nso ulipamba moto.
Screenshots sikupata maana mwenyewe mwingine ulinipita.
[emoji117][emoji117][emoji117]humu ndani ni kuwa makini na watu unaowasiliana nao pm ama nje ya hapa.
Maana yaliyotumwa huko leo ni aibu tupu
Aibu gani tena wakati ziliwekwa publicSINA
Na hata ningekuwa nazo nisingetuma kwa yoyote yule maana ni aibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu acha watafune ubuyu wao, si acha tuone misambwandaUmeanza....Gubu......
Kumbe huu!!!Hii ni part 4 nafikiri[emoji116][emoji116][emoji116]
Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine
Nilisoma page mbili nikaona maruweruwe nikaachana naoPage za mwanzo huwezi kuelewa stori ilikoanzia
Ni kweli mkuu, kufuatilia mambo ya watu tunaonaga shidaSema si unajua si wengine ndimi zetu zimechubuka ubuyu na ss tofauti
YapJumapili ya ibada
Salamu mkuuSalaam rafiki
Salama kabisa mkuu habari za JumapiliSalaam mzee liver
Hahahahaha mitaa yangu hiyoUndali st
Chukua likes nawe toa likesNaombeni like jamani
Acha kabisaUbabe, Undava, Bange, Shari Tafrani nk. Full Vurugu