Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa zinatuharibu sana, upande wa kule nilikuwa siku pendi ila umekuja huku umeshepika umekuwa bonge la mrembo tena mwenye hekima. I love you... ila siyo ile ya kukupenda.Naomba usinichambe.. teh! Coco oyeeeeeeee
Missing my sister cocochannel[emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Ha ha ha nilimuona mtu amewaka sana halafu katukana matusi makubwa ya nguoni
Mwenyewe nilishtuka sana...
Dadaake alishuka tena kwa kumtaja jina kakaake...
Wengine alikuwa anawawakia sana lakini kwa kakaake alikuwa anashuka...
Hakika uzi wetu umetufanya tuwe ndugu...
Ule uzi kwa kweli usingemuacha dada salama... Tumuombee[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kumbe uliona kule kuna maroho ya Ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…