Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi kweli kweli....
39ac5ceaa8fb7f51482172edfa3d77a4.jpg
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna classmate wangu aligombea 2015. Alichukua mpaka na mikopo benki ili kuongezea lakini kura hazikutosha. Mpaka leo hayuko sawa si kiichumi tu bali hata kiafya. Hata kazi kaacha kawa mtu wa vijiweni tu. Ni risk kubwa wanachukua kwa kweli....

Uweka hazina mzuri kama mgombea anazo za kueleweka. Wengine walinzi tu wa mgombea lakini mpaka kampeni zinaisha unakuta tayari wameshajenga.
Siasa hizi za ushindani ni pasua kichwa. Kuna mmoja alitumia raslimali zake karibu zote, alifanikiwa kuwaangusha wapinzani wake ndani ya chama chake, akaanza kufurahia ushindi na hivyo kujisahau kwenye kampeni zake. Akaja kuangushwa na kijana wa upinzani asiye na jina. Hali yake sasa ni tete.
 
Binadamu kwa kawaida huwa macho mchana na usiku hulala, ingawa siku hizi si ajabu kwa wengi kulala mchana na kufanya kazi usiku.
Lakini je, umewahi kujiuliza mwanadamu anaweza kukaa muda gani bila kulala?
Vijana wawili nchini Marekani walijaribu kupima hili.
Siku ngapi walikaaa
 
Back
Top Bottom