Hapana, huyu Ahmed Kipande alikuwa mwanamuziki mahiri miaka ya 50-60-70, alikuwa super star kwelikweli kama ilivyo kwa Diamond leo. Alisumbua sana kwenye kumbi zao miaka hiyo, Kibarua Bar ilala, Tanzania Legion Fire na Anautouglo hall mnazi mmoja. Huyu pia ni babu mzalia mama wa mwanamuziki yule aitwaye SharobaroMadeni Kipande ni mwanae?
Nilishaligundua hilo mapema sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Shimba Don't Get Married
Kabakia KK peke yake. Mababa wa mataifa yao...Wasomi...
Osagyefo. CIA washenzi sana !!!
The Kingunges. RIP...
Dadangu hajambo? Ni kweli kajifungua? Mpare we nomaaaa !!!Hi Tembisa aka Numbisa
Nashuku sana kwa kutukumbushia watu maarufu kama hawa!Hapana, huyu Ahmed Kipande alikuwa mwanamuziki mahiri miaka ya 50-60-70, alikuwa super star kwelikweli kama ilivyo kwa Diamond leo. Alisumbua sana kwenye kumbi zao miaka hiyo, Kibarua Bar ilala, Tanzania Legion Fire na Anautouglo hall mnazi mmoja. Huyu pia ni babu mzalia mama wa mwanamuziki yule aitwaye Sharobaro