Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madeni Kipande ni mwanae?
Hapana, huyu Ahmed Kipande alikuwa mwanamuziki mahiri miaka ya 50-60-70, alikuwa super star kwelikweli kama ilivyo kwa Diamond leo. Alisumbua sana kwenye kumbi zao miaka hiyo, Kibarua Bar ilala, Tanzania Legion Fire na Anautouglo hall mnazi mmoja. Huyu pia ni babu mzalia mama wa mwanamuziki yule aitwaye Sharobaro
 
Nashuku sana kwa kutukumbushia watu maarufu kama hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…