Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika, Afrika
Hii kitu ni duniani kote ingawa kwa wadhungu ondoa vita lakini madawa ya kulevya na magonjwa we acha tu!
Anyway sasa marekani na hilo li bill la guns!
Kwa iyo ukiangalia ni mzunguko huo huo tu!
Wenye hekima na busara wao ndiyo hufanya mambo yao atakwambia hivi kumbe ni vile!
! Lakini vidagaa vinaliwa tu!
Na ndiyo LAW YA UNVERSE IT GIVES AND TAKES! Kuna watu wa kupata na kukosa!
Mwombe Mola usijikute kwenye cross fire!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…