Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza.
 
Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha ambayo itajijenga katika akili yake wakati munatumiana jumbe za kimapenzi. Kama ulimpendeza sana ile mara ya kwanza alipokupatia namba yake ya simu, basi itakuwa rahisi kwa mpangilio wako uende sambamba kama vile unavyotarajia.
 
Pindi utakapoingia katika level nyingine ya kuliwazika na huyu mwanamke ambaye unamrushia mistari, mwonyeshe vile ambavyo umependezwa na yeye kwa kumsifu. Hakikisha kuwa unakuwa mpole katika SMS zako pia. Kama yuko darasani au kazini, usimtumie jumbe mpaka ule wakati ambao yuko huru na makini wa kujibu texts zako.
 
We niko na mpango wa kuku kidnap mwezi mzima ili hizo "exploration" Zifanyike vizuri au unaonaje?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nashukuru sana. Huwa nauzaga maparachichi, naamini huko yatapata sana soko.
Ni manene,marefu japo yamepinda kidogo kwa mbele lakini ni matamu kwa kweli.
Ni magumu magumu,hayalainiki kirahisi rahisi... Nitakapo kuonjesha moja hakika utainjoi ze woridi
Kwa taarifa tu huyo bibie anazimisha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE hebu amka uje umuone shemejiyo huku
 
Hii salamu hii hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo kwa BAK nimebaki hoi sijui hata wawazaga nini yaani[emoji23][emoji23][emoji23]

Habari ya jumamosi shem
 
Hahahhahahaa hili gazeti lina udaku wa kika aina aiseee acha tu niitwe dada na mie muhenga kwa watu kama D

Mmh uwe unasahau sahau kama carba alipotaka kufukua picha za isis akastopishwa na mzee wa kaya kuwa asifukua picha za queen wakati yeye ni princess hahaha mzee wa liver ana mbinu kali za kumlinda malkia wake

Ila harufu mbona ni mkaka tena muhenga kabisa ila unamuita dada aiseee

Hapa umemsahau ruta tu kwenye kutuma salamu

Hahahahhaa saksafoni ya D ina mwenyewe bado tu kutoa product matata hivyo usiitaje taje bana

Shikamoooo andjul,wazima wote home?wajukuu na vitukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…