Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kawaida kwa hawa maandaeitini wetu na kizazi chao. Hata akina numbisa na Carba ukiwatupia kilugha wana-mute. Lugha zetu masikini zinakufa pole pole.Hawajui kisukuma wala kinyakyusa...
Kuna sehemu nimechemka kwenye malezi,hawaendi kokote,mama yao si mzuri wa kisukuma.
Nadhani wamepoteza asili ya wazazi wao. Labda angekuwepo hai mama wangejua kuongea kinyakyusa maana alikuwa anapenda kukaa nao
Ila kitooo nilimmiss na ka muito kake ka dadii huku wakiulizana hali ya hewa we acha tuHuoni kama kaitwa "dadiii" Ama jeuri yako tu ya kikoromije?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo. Nadhani ni Andaeitini mwenzeko huyo. Nyie nyote mabinti zangu tu. Wewe, Carba, Jakitoo na baadaye nitamwongeza na Demiss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeee binti yangu
Naomba hiyo novel pls[emoji23][emoji23][emoji23]The Nurse. A Novel by Shimba ya Buyenze...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aliyechafua akili yangu anirudishie kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 700812
Duh cole njoo shimba keshaondoka hahahahaNdiyo. Ni Andaeitini mwenzeko huyo. Nyie nyote mabinti zangu tu...
Nimeacha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Umeanza...!!!
Hizo ndio topics pekee zinazo sababisha ufeli chemistry kama ni wa PCM au ufeli Jiografia kama ni wa PGMLi Aizaki Nyutoni liligundua kalikyulasi. Lipaithagorasi lilipenda sana trigonometria.(elimu ya maumbo)...Hovyo kabisa...
Halafu nikichelewa tu kwenda kulala utasikia "Dadi kalale kesho utaumwa". Yaani mpaka raha...Ila kitooo nilimmiss na ka muito kake ka dadii huku wakiulizana hali ya hewa we acha tu
Yaani kama mimi ni bure kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kawaida kwa hawa maandaeitini wetu na kizazi chao. Hata akina numbisa na Carba ukiwatupia kilugha wana-mute. Lugha zetu masikini zinakufa pole pole.
Ni Yego pekee ndiye anajua lugha yake ya mama kwa kina na Kikoromije tena kile cha ndani kabisa.
Love birds hawaIla kitooo nilimmiss na ka muito kake ka dadii huku wakiulizana hali ya hewa we acha tu
Setting yake ni kwenye sayari ya Mars. Hutaipenda !!!Naomba hiyo novel pls[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka tu nisome vyenye umesifia.....