Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa hajui hata salamu. Ukimwambia "Ng'wangaluka bageshi" anakukodolea macho tu. Ni kukulia mjini tena kwenye familia zenye uwezo na wazazi wasomi.

hapo hamna bana kawaida tu,ukija nifahamu utashangaa hee ndo haka ka matawi ka JF. Ujue JF kila mtu tajiri,kila mtu kizungu kinapanda hata cha kugoole nacho kinaonekana nicha mwenye ID JF
 
Ni kawaida kwa hawa maandaeitini wetu na kizazi chao. Hata akina numbisa na Carba ukiwatupia kilugha wana-mute. Lugha zetu masikini zinakufa pole pole.

Ni Yego pekee ndiye anajua lugha yake ya mama kwa kina na Kikoromije tena kile cha ndani kabisa.
Kwa kweli ni tatizo sana.
Nina lugha tatu za asili ya wazazi wangu,mbili nimejifunzia ukubwani na nimeziweza,sijui wa kwangu kama wataja weza kujifunza kwa kutafutiza...Lasivyo kumbukumbu naondoka nayo...
 

hapo hamna bana kawaida tu,ukija nifahamu utashangaa hee ndo haka ka matawi ka JF. Ujue JF kila mtu tajiri,kila mtu kizungu kinapanda hata cha kugoole nacho kinaonekana nicha mwenye ID JF
You are just a humble and down to Earth person...and I like that in you bageshi ntogwa ng'wanike nehu nsomi wape wa mili ndito na nkimbili ndito gudi nkila gwa ling'ondi [emoji23][emoji23][emoji23]

Itabidi umtafute Moud akutafsrie...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…