mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hapo kwenye kijana mpole watu wanahoji sana sijui kwa nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Asante kijana mpole,congrats too
Numbisa ana shida kabisa she is very strong womanKumbe Numbisa ni MANU? Hahahahahahahah mie sikujua naona huwa unapiga kimya mkipigwa bao. Hongera sana. Nawe hizi picha za warembo zinazowekwa hapa na BAK, ho chi minh na SHIMBA YA BUYENZE zinakukera?
Hahahaha, wakumbushe wanajifanya bado wapo mashati Rombo[emoji3] [emoji3]Chelsea msijifanye mko busy na msiba wa Akwilina, matokeo yenu tunayajua.
Mweeee mwee mweee mie wala sijali hahahahaHapo kwenye kijana mpole watu wanahoji sana sijui kwa nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mkuu tupia tu Mimi mwenyewe ni fans wa hizo picha although my Queen hataki nizione [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatutaki kuwakwaza wengine
AwesomeNumbisa ana shida kabisa she is very strong woman
Chelsea msijifanye mko busy na msiba wa Akwilina, matokeo yenu tunayajua.
Nitumie $ 5 nikumwagie PMHayo malove love vipi embu nitumie pm niamini[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Ee man u damu damu.Kumbe Numbisa ni MANU? Hahahahahahahah mie sikujua naona huwa unapiga kimya mkipigwa bao. Hongera sana. Nawe hizi picha za warembo zinazowekwa hapa na BAK, ho chi minh na SHIMBA YA BUYENZE zinakukera?
Kumbe weye mchokozi eeh! Waache waomboleze wakimaliza watarudi kuja kuulizia hivi ule mchapo na MANU matokeo yalikuwaje? LOL!
Sasa Mimi ninazo za kutosha na tunakutana live unataka kutumia furusa mpka kwa mwenye Mali duNitumie $ 5 nikumwagie PM
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni Heri ahame kwa muda, kuishi TZ anapaswa awe mvumilivu, vinginevyo anaweza kuandamana na kuwasababishia madhara watembea kwa miguu au waliomo kwenye bodaboda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avumilie tu. Miaka mingine 7 ijayo siyo mbali sana...
Nope. True color ya kijana mpole....
[emoji445][emoji444][emoji443] True colours. Show me true colours[emoji445][emoji443][emoji444][emoji445]
Phil Collins....