Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani Yego ni mtoto ila stori zake za zamaniiii
Hahahahha nina maudhi PM msije ninyima likes bure abaki hapa hapa tu ili nifaid likesKanyonge ketu hako. Kafungulie PM ikibidi ili angalau kaliwazike kidogo. Meseji mbili tu kakianza mambo ya mvinyo mwekundu unatia loki na funguo unazitupa baharini....
Mkiwaga PM sasa wapooolee kweli akhu. Baki hapa hapa
Sio kwangu weweeeee.... Itikia kwa Numbisa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24]"Naaaamuu"
Mmmh jaman sijui lini ntapata shida shimba anisaidieeeTajiri? Mimi huyu? Hapana bana. Mi sina kitu...na kidogo Mola anachonijalia nashea na wenzangu wenye shida zaidi yangu. Tena sasa na mama hayupo ndo kabisaaaaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sio kwangu weweeeee.... Itikia kwa Numbisa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mwalimu kwenye ubora wako hahahaOooooooo!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] umeharibu sasa!!!
Ungeitikia tu "naaaamuu"....
Nimesikia mrs GbNo pls huu utani uishie hapa
Nimegusa pabayaHuyo Gabri ndo nani? Hebu na akafie mbali huko kha !!!
Hahahahahahahaha siku hizi anaitwa pimbi hahahaNumbisa Kwani anakunywaga ile mimvinyo myekundu unayogawaga. Kabla yako kuliwahi kuwa na mtu hapa alikuwa anatembea na wedding rings za visoda. Alioa hapa hapa akafikisha karibu wake sita...Ila sijaona matunda yako ya red wine mkuu...Hamia kwenye wedding rings ikibidi achana na red wine....
Mmh homework ushafanya au ndo umekuja angalizia google khaa sijui nikutukaneje ukimbieNimesikia mrs Gb
Nikimuonaga Nikiwe kama vile nimekuona sasa leo yale macho ulivyo yatoa nikasema Kanumbisa kana uwawa leoHahahahhaa nilikua nimenuna umenichekesha li jamaa tapeli korofi na misifa yote ya kijambazi halafu uniq analazimisha niwe mrs jambaz daah kanichoka huyu mtu
Hahahhaaa mna vituko
Si unajua kakaako bado?!!!Mwalimu kwenye ubora wako hahaha
Hivi bado hajamaliza?Mmh homework ushafanya au ndo umekuja angalizia google khaa sijui nikutukaneje ukimbie