carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli kabisa.....lakini wanafanana japo huyu hajatumia mkorogo. Wema naye ni mzuri sana ila kubadili badili wanaume kama anabadili picchu kumemfanya achuje haraka.
Enzi zile alikua mzuri mno ila siku hizi ashukuru make ups zinambeba na filter zinaficha michirizi ya mikorogo. Sijui nani alimdanganya ila nahisi ni mange maana enzi hizo alikua anauza mkorogo wa obagIla ka wema ni kazuri sema mkorogo na mavipodozi ya kichina kayaendekeza sana.
Hasa maneno ya makonda hapo mbele umenipata hapo nyuma vipi oho nimekaa vibaya yaani raha tu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Kupanda daladala kuna raha yake bhana.
Yeah wanafanana,na kutumia mchina kumemuharibu,lile jmbo lake angeweza dumu nalo kama mamiss wenzie....lakini wanafanana japo huyu hajatumia mkorogo. Wema naye ni mzuri sana ila kubadili badili wanaume kama anabadili picchu kumemfanya achuje haraka.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nipo mbali Dodoma Handeni huku feel lonely
Kweli kabisa.
Wema nizuri sema kujigeuza "daladala" na vipodozi vya kujichubua vimemuaribu sana.
Kipindi anagombea u miss alikuwa msupuu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe timbwilizi wengine mnapenda eh! mko kimya mnasuuzika na roho zenu huku mkiwa mmekodoa macho kwa karibu kufuatilia LOL! Wabaya nyie!!!!
Haka kasura kama ka sepengu
Yeah wanafanana,na kutumia mchina kumemuharibu,lile jmbo lake angeweza dumu nalo kama mamiss wenzie
Haka kasura kama ka sepengu
Hata hivyo sasa hivi ukiangali unaona makeup zinaanza kuacha ngozi.Enzi zile alikua mzuri mno ila siku hizi ashukuru make ups zinambeba na filter zinaficha michirizi ya mikorogo. Sijui nani alimdanganya ila nahisi ni mange maana enzi hizo alikua anauza mkorogo wa obag
[emoji23][emoji23][emoji23]Hasa maneno ya makonda hapo mbele umenipata hapo nyuma vipi oho nimekaa vibaya yaani raha tu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Sijui wapi wacha nifuate[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hasa maneno ya makonda hapo mbele umenipata hapo nyuma vipi oho nimekaa vibaya yaani raha tu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Yop mkuuUmeona eeh! Duniani wawili wawili.
Kwa genta maana kamtaja malkia wa masaki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sijui wapi wacha nifuate[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha
Ahahahaha hamna bana siongelei kubanwa kwa kubambia hahaha koromije kuna vipanga vya kutosha mnakaa siti wawili na wale watakaosimama gar full baasi full joto
HahahahahaKwa genta maana kamtaja malkia wa masaki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]