Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee huyu alikuwa supastaa wa ukweli
 
snuramushi anasema kuwa hujapata taarifa rasmi kutoka Basata ya kufungiwa kwa ngoma zake zaidi ya kuona taarifa hizo zikienea mitandaoni. Ameongeza kusema hajashangaa ngoma yake ya 'Chura' kufungiwa anachoshangaa ni kuona ngoma yake ya 'Nimevurugwa' ikifungiwa leo wakati ni ya kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…