mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaMajimama uliyomwambia ayaote yamegeuka fisi. Watoto wadogo hawa msiwe mnawatisha tisha hasa nyakati za usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Mkuu RC wana siri kubwaWalitawala dunia katika nyanja zote kwa muda mrefu sana. Walikuwa mpaka na uwezo wa kuweka na kuondoa wafalme madarakani, ikiwemo kwenda vitani na kuua. Ndiyo maana kuna makabrasha ya siri kubwa kuhusu dini, sayansi, utawala n.k. yamefichwa katika vyumba vya chini huko Vatican...
Kwema mkuu habari ya weweHabari zenu ndugu
YopLikes za alhamis
HahahahahMajimama uliyomwambia ayaote yamegeuka fisi. Watoto wadogo hawa msiwe mnawatisha tisha hasa nyakati za usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii !!!
Naandamwa sana katika uzi huu jamani. Mwakaleli naye haji akanipumzisha. Natangaza kupumzika kwa siku kadhaa. Huuuuu !!!
Malkia Wangu atakuwa naniNaomba nafasi ya uweka hazina ukiwa askofu[emoji41][emoji41][emoji41]
HahahahahaNilifikiri Cole ndiyo kaweka hii comment. Kuangalia jina silo. Hoovyoooo !!!
Mkuu tunacheza na furusa naona mabishop wana make money sana na Mimi maandiko yamelala aisee naanzisha kanisa fasta shida itakuwa mambo ya Vat 69 na jack daniel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bakia kwenye Forex....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ntapaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaaa kidogo unywe hata juice
Na iwe hivyoHuu uzi utakuwa wa kwanza jf kufikisha 1M replies
Na jumongMkuu tunacheza na furusa naona mabishop wana make money sana na Mimi maandiko yamelala aisee naanzisha kanisa fasta shida itakuwa mambo ya Vat 69 na jack daniel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaAnataka kuona clip! Mzee wa liver! Hahahaha
Kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe yawezekana eeh??
Black Mamba nyoka hatari kabisa kutokea duniani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na jumong
Utaniiiii...!!!Mmmh!!!
Hadi naanza kukuogopa sasa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mange watamdaba tu ipo siku tena kirahisi kabisaWameshindwa kumkomesha Mange mpaka anataka kuwasha moto nchi nzima makalio ndiyo wataweza? Pathetic !!!