Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha mbavu zangu jamani andjul hahahaha!
Ni kweli kabisa!
Hawa ndege huwa wana very huge psychic powers!
Sasa kuwaleta wa kipakistan ndiyo maana mambo yakawa hivyo walahi!
Uumbaji huwa unajitegemea wenyewe!
Mungu aendelee kutupigania bila kuchoka kwa kweli. Tuwarudishe kunguru wetu,nembo ya mtu mweusi mtanashati.
Rejea uvaaji wa Wamalawi na Wazambia ambako bado kunguru wenye ueupe na yange yange wametapakaa mijini na vijijini
 
Rais @MagufuliJP "Wapo watu wanapenda tuache kufanya kazi tuende barabarani tukaandamane,ngoja wafanye waone,Kama kuna watu wanawatuma wataenda kuwasimulia vizuri".[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]
Mange ana kamwili kadoogo sana.Amebeba lingoma hilooo,likipigwa kila mtu anacheza kwa style yake.
[emoji124] [emoji124] kahaba wa mdomo ni mbaya sana kuliko kahaba wa aina nyingine yoyote.

**TANZANIA YA AMANI,MAKAZI SALAMA YA NAFSI ZETU**
 
Yaani anawachezesha mziki kwa style anayoitaka mwenyewe na wanacheza.
Sema siku huyu bidada akija kamatwa ataomba poo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti babu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…