Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana mtoa mavituzi.
Huu uzi huu raha sana
Salama kabisa mzee wa iniMy princess habari za Jumapili
X nini Cole unanipa wakati mgumu wa kugundua lakini inawezekana X carba[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Hata haitafika mid night [emoji23][emoji23][emoji23]tena mid night ni mbali nahisi hata jioni haifiki[emoji125] [emoji125]Ndiyo natoka mkuu. Hapa niko "mtakatifu" balaa. Hata mamisambwanda nayakaushia tu sigeuzi shingo wala lile jicho la kuibia ibia. Niko fokasidi balaa. Ngoja nione hii hali itadumu mpaka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia ni nzuri hila watu wake ndio shidaMAPENZI MAZURI NA MATAMU
ILA WAPENZI NDIO HAWANA MAANA
What'sMende ana maziwa!!!!