Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha hatari sana
 
Ile toni yenu ya kukaza maneno?

Naomba nipewe jinsi ya kujiunga na hili darasa,kama kuna masharti yoyote naomba kujuzwa tafadhali.
Toni ni ile tabia ya neno moja katika lugha kutamkika vile vile lakini maana inatofautiana kutegemeana na mkazo unaotia katika sauti.

Mfano neno kondoo na moyo katika Kikoromije yote ni ng'holo. Tofauti yake inategemea na mkazo. Hali kadhalika neno nda linaweza kumaanisha chawa au tumbo kutegemea na jinsi unavyolitamka.

Kichina ni kigumu sana kwa sababu neno linaweza kuwa lile lile lakini likawa na maana sita tofauti kutegemea na mkazo unaotumia wakati wa kulitamka. Tatizo ni kwamba kwa mtu ambaye hujazoea hata hizo tofauti za mkazo huwezi kuzisikia, na hivyo kujikuta unaboronga tu...

Bado una hamu ya kujifunza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…